-
Magazeti
-
Tetesi za usajili yanga
“Niwaahidi Wanayanga tunatarajia kufanya usajili mchezaji mmoja au wawili ambao wametakiwa na benchi la ufundi kuelekea dirisha dogo la usajili, lakini pia maandalizi kumalizia NBC na mashindano ya CAF Februari” Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said
-
Mayele na yanga mambo ni sawia
Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla.Mayele anasifiwa kufunga tu.Hasifiwi fitness yake.Sijui kwanini.Bao la kwanza jana baada mpira wa kichwa kugonga mwamba reaction ya kufunga kwa mguu ilitokana na fitness yake.Wengine kuurudia tena ule mpira ni issue kama fitness level yako ipo chini. Bao lake…
-
NBC Premier League Leo Jumamosi.
Saa 8:00 Mchana, Ihefu SC watakuwa uwanja wa nyumbani wakiwaalika Mtibwa Sugar. Saa 10:00 Jioni, Ruvu Shooting watakuwa Dimba la Uhuru wakiwakaribisha Namungo FC. Je, Ihefu na Ruvu Shooting watafanikiwa kupata alama tatu ili wajinasue kutoka nafasi za chini kwenye msimamo ama mambo yatazidi kuwa magumu upande wao? Michezo yote hii itaruka mbashara kupitia #AzamSports1HD.…
-
Mohamed Salah
💥MOHAMED SALAH ✍️Mohamed Salah sasa amefunga mabao 10 dhidi ya Manchester City katika michuano yote, baada ya bao alilofunga hapo jana dhidi yao katika League cup. Takwimu za Mohamed Salah dhidi ya Manchester City. Michezo 18mabao 10pasi za mabao 5 ✍️Manchester City imekuwa timu ya tatu tofauti ambayo Mohamed Salah ameifunga mabao 10 katika career…
-
Marry Christmas
Ney news inawatakia sikuku njema ya Christmas
-
Said ntibanzokinza rasmi ajiunga na Simba SC akitokea geita gold
Kiungo mshambuliaji said ntibanzokinza Ali maarufu saido amejiunga rasmi na klabu ya Simba akitokea geita gold na anasema anayo furaha kubwa kujiunga na Simba na ni Moja ya malengo yake kuchezea klabu ya Simba na hata familia yake ya mpongesa juu ya suala hilo pia ajiunga na wachezaji wenzake huko mwanza na kukanusha kua yeye…
-
Feisal awaaga wanajangwani
-
Tamko la yanga kuhusu Feisal salum
TAARIFA KWA UMMA KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa Yanga kuhusiana na taarifa za mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah zinazoenea katika mitandao ya kijamii. Klabu inathibitisha kupokea barua kutoka kwa mchezaji tarehe 23 Disemba 2022 inayoeleza kuvunja Mkataba wake baina yake na Klabu. Klabu ya Yanga imemuandikia na kumjibu Feisal na miongoni…
-
Beki kisiki wa klabu ya yanga dikson job azungumzia mechi dhidi ya Azam FC itakayo chezwa kesho
Tuna waheshimu Azam kwasababu tunaamini wana timu nzuri lakini na sisi tuna timu nzuri na wachezaji wazuri na tukipambana naamini tutapata matokeo “Mchezaji Dickson Job”. Sisi kama wachezaji tupo tayari kuelekea mchezo wa kesho na walimu wameshatuanda kuelekea kwenye mchezo huo, kikubwa sisi kama wachezaji tunaitaka mechi kwasababu tuna morali nayo na tunazihitaji alama 3…